Msichana huyu atakuwa wa kipekee duniani
Benedictus O. anasema kwamba aliweza kuhisi uhusiano na binti yake kabla ya kuzaliwa; ananieleza kuwa hata kabla ya mkewe kujua kuwa alikuwa mjamzito, yeye mwenyewe alijua kwa namna fulani na akajua kwamba mkewe atajifungua mtoto wa kike ambaye watamwita Amanda