May 2020

  Mchungaji Ali ndiye wa kwanza kukiri kwamba sio rahisi kuwa mwanamke ambapo yeye yuko nchini Kenya. Baadhi ya wasichana katika kanisa lake hawawezi hata kununua sodo wanapokuwa na hedhi na wao hulazimika kukaa nyumbani na kutokwenda shuleni siku hizo; aidha,